DStv wamewasha tena Moto Jumanne hii ambapo msimu mpya wa UEFA
Champions league unaanza rasmi, Na ni kwenye Supersport pekee ndipo
utaweza kuipata Ligi hii ya Mabingwa wa Ulaya Mubashara!
Barcelona
watatufungulia pazia kwa mechi kali dhidi ya PSV itakayochezwa saa 2 usiku na kuruka LIVE kwenye DStv kupitia Supersport 5. Inter Milan itacheza dhidi ya Tottenham
Hotspur saa 2 usiku na utaipata mechi hii LIVE kwenye Supersport 6 kifurushi Compact Plus.
Borussia Dortmund
wataenda Jan Breydel Stadium kukutana na Club
Brugge mechi itakayorushwa LIVE kwenye Supersport
8 ya kifurushi Bomba kwa sh.19,
000 saa 12 jioni.
Mechi nyingine kali Jumanne hii ni kati ya Liverpool dhidi ya PSG itakayochezwa saa 4 usiku kwenye Supersport 5 kifurushi Compact Plus.
Mteja wa
DStv, Hakikisha unalipia kifurushi chako kabla hakijakatika ili upate ofa ya kuongezewa
chaneli za supersport za kifurushi cha juu kwa kipindi cha siku 7 buree na
utaweza kufurahia msimu mpya wa UEFA Champions League.
Kumbuka ukiwa
na Application ya DStv Now utaweza kuangalia mechi zote kupitia simu
yako ya mkononi, Tablets, Laptop na hata Desktop ukiwa mahali popote wakati
wowote bila gharama ya ziada.
DStv sasa
inapatikana kwa sh.79, 000 tu unapewa na kifurushi cha mwezi mmoja Bomba buree,
Kujiunga piga 0659 070707!
DStv Moto Hauzimi!
No comments:
Post a Comment