Jumamosi hii kwenye Premier League, Wana wa darajani
aka the Blues - Chelsea ambao wanashikilia nafasi ya 3 katika msimamo wa Ligi
watakuwa wakiwakaribisha vinara wa Ligi wanaoshikilia namba 1, Liverpool.
Hii
ndio mechi nadhani raia wote tunaisubiri kwa hamu. Mechi itapigwa saa 1 na nusu
usiku ndani ya Supersport 3 kupitia kifurushi cha Compact kwa sh.69, 000 tu.
Mechi
nyingine ni kwenye premier league Jumamosi ni
·
West Ham United vs Manchester United saa 8:30
mchana SuperSport 3 kwenye kifurushi DStvCompact
·
Manchester City vs Brighton saa 10:30 jioni
Supersport 10 ya kifurushi DStv Bomb ash.19, 000 tu!
·
Arsenal vs Watford saa 11 jioni kwenye
Supersport 5 ya kifurushi DStv Compact Plus
Mteja wa DStv, Lipia kabla akaunti
yako kukatika upate ofa ya chaneli za ziada za supersport za kifurushi cha juu
kwa kipindi cha siku 7 ufurahie soka kabambe msimu huu bila gharama ya ziada.
Hii ni sababu nyingine ya kufurahia
ukilipia kifurushi chako mapema.
Na kumbuka ukiwa na Application ya DStv Now utaweza
kuangalia mechi zote kupitia simu yako ya mkononi, Tablets, Laptop na hata
Desktop ukiwa mahali popote wakati wowote bila gharama ya ziada.
No comments:
Post a Comment