BREAKING

Friday, 4 September 2015

MGOMBEA MWENZA WA URAIS CCM AHAIDI NEEMA KWA WAJASILIAMALI.


Baadhi ya wanaCCM na wapenzi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wakiwa katika mkutano wa kampeni wa mgombea mwenza wa kiti cha urais Bi. Samia Suluhu leo katika uwanja wa Yombo Buza, Wilaya ya Temeke jijini Dares Salaam








Kikundi cha burudani ya kughani kwa semi cha FATAKI kikiburudisha wanaCCM na wananchi waliohudhuria mkutano wa kampeni wa mgombea mwenza wa kiti cha urais Bi. Samia Suluhu leo katika uwanja wa Yombo Buza, Wilaya ya Temeke jijini Dar es Salaam.



Mgombea Ubunge kwa tiketi ya CCM Jimbo la Temeke, Abass Mtemvu jijini Dar es Salaam akizungumza katika 
mkutano wa kampeni wa mgombea mwenza wa kiti cha urais Bi. Samia Suluhu leo katika uwanja wa Yombo Buza, 
Wilaya ya Temeke jijini Dar es Salaam. 


Mgombea mwenza wa kiti cha urais Bi. Samia Suluhu akiwapungia mkono wanaCCM na wananchi wengine waliohudhuria mkutano wake wa kampeni alipowasili uwanja wa Yombo Buza, Wilaya ya Temeke jijini Dar es Salaam.



MGOMBEA mwenza wa kiti cha urais Bi. Samia Suluhu amesema ilani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) imetenga kiasi cha fedha kitakachotumika kama dhamana ili wajasiliamali mbalimbali wa jijini Dar es Salaam waweze kudhaminiwa kwenye mabenki na kupewa mikopo ili kuendeleza biashara zao.

Bi. Samia amesema hayo leo jijini Dar es Salaam kwenye mkutano wa kampeni Yombo Buza, Wilaya ya Temeke alipokuwa akiifafanua ilani ya Chama Cha Mapinduzi imepanga kuwafanyia nini Watanzania endapo watashinda Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 25, 2015 na kuunda Serikali ya CCM.

Mgombea huyo mwenza alisema Serikali ya CCM imepanga kujenga mazingira bora ya biashara kwa wajasiliamali ikiwa ni pamoja na kutenga fedha ambazo zitatumika kama dhamana katika mabenki ili kuwadhamini wajasiliamali hao kupewa mikopo ya kuendeleza na kuzikuza biashara zao.

Alisema Serikali pia itaweka utaratibu wa kuzilazimisha halmashauri nchini kuhakikisha asilimia 30 ya tenda zake zinafanywa na vikundi vya kijasiliamali vya vijana pamoja na wanawake ikiwa ni mkakati wa kuwainua vijana na akinamama kwenye biashara zao. Alisema halmashauri zimekuwa zikitoa tenda nyingi kwa makampuni ya kati hata zile ndogondogo hivyo utawekwa utaratibu tenda ndogo kwa sasa zifanye na vikundi hivyo.

Alisema ili kuongeza maeneo ya kufanyia biashara Serikali ya CCM itawekwa utaratibu mzuri ambao utakuwa ukifunga baadhi ya barabara na kuzitumia kama masoko ya muda kwa siku maalum kisha baadaye kufunguliwa na kuendelea na kazi zake. Kama hiyo aitoshi kodi ndogo ndogo zisizo na msingi zitafutwa ili kumuondolea bughudha ba kero wajasiliamali.

Aidha Bi. Suluhu aliongeza kuwa kwa Wilaya ya Temeke Serikali ya CCM imepanga kujenga masoko kadhaa likiwemo lile la Kijichi ambalo litachukua wafanyabiashara 580 kwa pamoja ili kuongeza fursa za biashara kwa akinamama na vijana, ardha ambayo tayari imeshatengwa na ilichobaki ni kuanza na ujenzi. Alibainisha kuwa Serikali itaanza kutenga asilimia 75 ya mapato ya halmashauri ili zirudi na kutumika kuzijenga barabara ndogondogo ikiwa ni jitihada za kuboresha miundombinu.

Aliongeza kuwa ili kuchochea ukuaji wa biashara kwa akinamama na vijana wajasiliamali Serikali itaanza kuwabana mgambo ambao wamekuwa wakiwabugudhi wafanyabiashara dogodogo ikiwa ni jitihada za kuondoa usumbufu kwao. 

Bi. Suluhu alisema miradi mingine ambayo Serikali inayoundwa na CCM imepanga kuisimamia kwa karibu ili kuboresha huduma hizo ni pamoja na uboreshaji huduma za afya, umeme kwa vijiji vyote vya Mkoa wa Dar es Salaam, uboreshaji huduma za maji safi na Salama, elimu pamoja na miundombinu ya barabara.

Mgombea huyo wa urais anaendelea na mikutano ya kampeni jijini Dar es Salaam baada ya jana kumaliza ziara ya kuinadi ilani ya Chama Cha Mapinduzi katika Mkoa wa Singida na Dodoma. 


Thursday, 3 September 2015

DODOMA ILIVYOTEKWA NA MGOMBEA MWENZA WA URAIS BI SAMIA SULUHU


 Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Sukuhu Hassan, akihutubia maelfu ya wananchi katika mkutano wa kampeni Dodoma mjini leo.
 Kijana akiwa na bango wakati akienda mkutano wa  kampeni za CCM Dodoma mjini leo
 Maelfu ya wananchi wakiwa kwenye mkutano wa kampeni uliohutubiwa na mgombea mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM uliofanyika leo Dodoma mjini
 Mgombea wa ubunge jimbo la Mtera Livingstone Lusinde akihutubia maelfu ya wananchi katika mkutano wa kampeni uliofanyika leo Dodoma mjini leo
 Maelfu ya wanannchi wakimshangilia Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Sukuhu Hassan alipowalisi kwenye mkutano wa kampeni uliofanyika leo
 Maelfu ya wanannchi wakimshangilia Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Sukuhu Hassan alipowalisi kwenye mkutano wa kampeni uliofanyika leo
 Wagombea Ubunge Livingstone Lusinde (Mtera) ma Mavunde (Dodoma mjini) wakishiriki kucheza muziki jukwani wakai wa mkutano wa kampeni uliofanyika leo Dodoma mjini leo na kuhutubiwa na mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama samia Suluhu Hassan
 Mgombea Ubunge jimbo la Dodoma mjini Mavunde akiteta jambo na Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Dodoma, Adam Kimbisa wakati wa mkutano wa kampeii za CCm uliofanyika leo Dodoma mjini
 Wagombea Udiwani Dodoma mjini wakiwa  kwenye mkutano wa kampeniwa mgombea mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM Mama Samia uliofanyika leo
 
 Mgombea Ubunge Dodoma mjini, Mavunde akihutubia maelfu ya wananchi katika mkutano wa kampeni uliofanyika leo Dodoma mjini

 Kinkundi cha Hapa Kazi kutoka Tanga wakitumbuiza wakati wa mkutano wa kampeni wa mgombea mwenza wa urais kwa tiketi ya CCM uliofanyika leo, jimbo la Kibakwe mkoani Dodoma
 Mgombea Ubunge Jimbo la Kibakwe , Dk. Simba Chawene akiomba kura kwa wananchi katika mkutano wa kampeni uliofanyika jimbo hilo leo
 Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM Mama Samia (kushoto) akishuhudia burudani iliyokuwa ikitolewa na Kundi la Hapa Kazi, wakati wa mkutano wa kampeni uliofanyika, jimbo la Kibakwe mkoani dodoma leo
 Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama samia akiwasalimia wananchi baada ya kuwasili uwanja wa mkutano wa kampeni katika jimbo la Kibakwe mkoani dodoma leo
 Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia akimnadi Mgombea Ubunge jimbo la Kibakwe, Dk. Simba Chawene katika mkutano wa kampeni uliofanyika jimbo hilo leo. Kushoto ni Mama Mariam Simbachawene.
 Msafara wa mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia ukiwa umeuziwa na wananchi wakati akienda jimbo la Mtera leo
 Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM,  akimnadi Mgombea Ubunge wa Ubunge jimbo la Mtera Livingstone Lusinde katika mkutano wa kampeni uliofanyika katika jimbo hilo leo
 Mgombea Mwenza wa Urais tikati ya CCM, Mama Samia akiwahutubia wananchi wa jimbo la Mtera katika mkutnao wa kampeni uliofanyika leo katika jimbo hilo
Maelfu ya wananchi waliohudhuria mkutano wa kampeni katika jimbo la Mtera leo.

MAFURIKO YA MAMA SAMIA SULUHU VIWANJA VYA CHANG'OMBE DODOMA

Baadhi ya wanaCCM na wapenzi wa chama hicho wakiwa wamefurika katika mkutano wa hadhara ulofanyika Viwanja vya Chang'ombe mjini Dodoma. Baadhi ya wanaCCM na wapenzi wa chama hicho wakiwa wamefurika katika mkutano wa hadhara ulofanyika Viwanja vya Chang'ombe mjini Dodoma.
Baadhi ya wanaCCM na wapenzi wa chama hicho wakiwa wamefurika katika mkutano wa hadhara ulofanyika Viwanja vya Chang'ombe mjini Dodoma. Baadhi ya wanaCCM na wapenzi wa chama hicho wakiwa wamefurika katika mkutano wa hadhara ulofanyika Viwanja vya Chang'ombe mjini Dodoma.
Baadhi ya wanaCCM na wapenzi wa chama hicho wakiwa wamefurika katika mkutano wa hadhara ulofanyika Viwanja vya Chang'ombe mjini Dodoma. Baadhi ya wanaCCM na wapenzi wa chama hicho wakiwa wamefurika katika mkutano wa hadhara ulofanyika Viwanja vya Chang'ombe mjini Dodoma.
Mgombea mwenza wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) nafasi ya urais, Bi. Samia Suluhu akiwasili na kuwapungia mkono wananchi katika viwanja vya jangani. Mgombea mwenza wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) nafasi ya urais, Bi. Samia Suluhu akiwasili na kuwapungia mkono wananchi katika viwanja vya jangani.
Mgombea mwenza wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) nafasi ya urais, Bi. Samia Suluhu akipokea kadi kutoka kwa  aliyekuwa mgombea wa udiwani wa Chadema Kata ya Mlowa Barabarani baada ya kujiunga na chama hicho. Mgombea mwenza wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) nafasi ya urais, Bi. Samia Suluhu akipokea kadi kutoka kwa
aliyekuwa mgombea wa udiwani wa Chadema Kata ya Mlowa Barabarani baada ya kujiunga na chama hicho.
Baadhi ya wanaCCM na wapenzi wa chama hicho wakiwa wamefurika katika mkutano wa hadhara ulofanyika Viwanja vya Chang'ombe mjini Dodoma. Baadhi ya wanaCCM na wapenzi wa chama hicho wakiwa wamefurika katika mkutano wa hadhara ulofanyika Viwanja vya Chang'ombe mjini Dodoma.
Mgombea ubunge Jimbo la Mtera, Livingstone Lusinde akizungumza mkutano wa kampeni viwanja vya Chang'ombe Dodoma. Mgombea ubunge Jimbo la Mtera, Livingstone Lusinde akizungumza mkutano wa kampeni viwanja vya Chang'ombe Dodoma.
Baadhi ya wanaCCM na wananchi wakiwa katika mkutano wa kampeni wa mgombea mwenza wa CCM, Bi. Samia  Suluhu viwanja vya chang'ombe. Baadhi ya wanaCCM na wananchi wakiwa katika mkutano wa kampeni wa mgombea mwenza wa CCM, Bi. Samia
Suluhu viwanja vya chang'ombe.

Bi. Samia Suluhu kulia akimtambulisha mgombea ubunge wa jimbo la Mtera, Livingstone Lusinde jimboni humo. Bi. Samia Suluhu kulia akimtambulisha mgombea ubunge wa jimbo la Mtera, Livingstone Lusinde jimboni humo.
Baadhi ya wanaCCM na wananchi wakiwa katika mkutano wa kampeni wa mgombea mwenza wa CCM, Bi. Samia  Suluhu Jimbo la Kibakwe. Baadhi ya wanaCCM na wananchi wakiwa katika mkutano wa kampeni wa mgombea mwenza wa CCM, Bi. Samia
Suluhu Jimbo la Kibakwe.
Mgombea mwenza wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) nafasi ya urais, Bi. Samia Suluhu (kulia) akiwatambulisha mgombea ubunge Jimbo la Kibakwe, George Simbachawene (katikati). Mgombea mwenza wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) nafasi ya urais, Bi. Samia Suluhu (kulia) akiwatambulisha mgombea ubunge Jimbo la Kibakwe, George Simbachawene (katikati). 
Baadhi ya wanaCCM na wananchi wakiwa katika mkutano wa kampeni wa mgombea mwenza wa CCM, Bi. Samia  Suluhu Jimbo la Kibakwe. Baadhi ya wanaCCM na wananchi wakiwa katika mkutano wa kampeni wa mgombea mwenza wa CCM, Bi. Samia
Suluhu Jimbo la Kibakwe.
Aliyekuwa Katibu Mwenezi wa Chadema Wilaya ya Dodoma Mjini, Peter Chiuyo akizungumza mbele ya wananchi kwenye mkutano wa hadhara ulofanyika Viwanja vya Chang'ombe mjini Dodoma. Aliyekuwa Katibu Mwenezi wa Chadema Wilaya ya Dodoma Mjini, Peter Chiuyo akizungumza mbele ya wananchi kwenye mkutano wa hadhara ulofanyika Viwanja vya Chang'ombe mjini Dodoma.
Baadhi ya wanaCCM na wananchi wakiwa katika mkutano wa kampeni wa mgombea mwenza wa CCM, Bi. Samia  Suluhu Jimbo la Kibakwe. Baadhi ya wanaCCM na wananchi wakiwa katika mkutano wa kampeni wa mgombea mwenza wa CCM, Bi. Samia
Suluhu Jimbo la Kibakwe.
Baadhi ya wanaCCM na wapenzi wa chama hicho wakiwa wamefurika katika mkutano wa hadhara ulofanyika Viwanja vya Chang'ombe mjini Dodoma. Baadhi ya wanaCCM na wapenzi wa chama hicho wakiwa wamefurika katika mkutano wa hadhara ulofanyika Viwanja vya Chang'ombe mjini Dodoma.
Baadhi ya wanaCCM na wananchi wakiwa katika mkutano wa kampeni wa mgombea mwenza wa CCM, Bi. Samia  Suluhu Jimbo la Mtera. Baadhi ya wanaCCM na wananchi wakiwa katika mkutano wa kampeni wa mgombea mwenza wa CCM, Bi. Samia
Suluhu Jimbo la Mtera
Meza kuu katika mkutano wa hadhra jimbo la Kibakwe.

MGOMBEA MWENZA WA URAIS KUPITIA CHAMA CHA MAPINDUZI CCM, ASEMA DODOMA NGOME YA CCM



 
Copyright © 2016 Shamakala
Designed by Switch International | SHAMAKALA 360
    Twitter Facebook Google Plus Vimeo Videosmall Flickr YouTube