BREAKING

Tuesday, 4 August 2015

NCHI ZA KENYA,UGANDA ETHIOPIA NA TANZANIA ZAAZIMISHA SIKU YA UVUMBUZI WA FUVU LA KICHWA LA BINADAMU WA KWANZA ZINJANTHROPUS LILILOGUNDULIKA KATIKA BONDE GORGE OLDUVAI ZAIDI YA MIAKA 50 NCHINI TANZANIA.


Team shiriki iliyoanzimisha siku ya uvumbuzi wa fuvu la kichwa la binadamu wa kwanza Zinjanthropus,kutoka nchi za Tanzania, Kenya, Ethiopia na Uganda wakiwa katika picha ya pamoja katika Jengo la Makumbusho ya Taifa Dar es Salaam.

 Fuvu la ZINJANTHROPUS,liliogunduliwa na Dk.Louis Leakey na mkewe Dk Mary Leakey kutoka Uingereza mwaka 1957 Tanzania huko Olduvai gorge



 Agnes Gidna ambaye ni mhifadhi wa makumbusho ya Taifa kitengo cha Paleontology akiwaelezea waandishi wa habari tofauti ya fuvu la ZINJANTHROPUS na lile la JAMII HOMOHABILIS, yaliyopatikana katika bonde la Gerge Olduvai


                                          Fuvu  la JAMII YA HOMOHABILIS

 Mwandishi wa Channel Ten  Sangu Joseph akipata maelezo kutoka  kwa  mhifadhi Mkuu wa Makumbusho kitengo cha Paleontology

Dk.Charles Saanane,ambaye ni mjumbe wa kamati ya East Africa Association,akielezea kwa waandishi wa habari hawapo Pichani utofauti wa mafuvu ya JAMII YA HOMOHABILIS na ZINJANTHROPUS


                                          Dk.Charles Saanane,

MAGUFULI AFUNGA JIJI LA DAR ES SALAMA, WAKATI WAKUCHUKUA FOMU ZA KUGOMBEA URAIS

 Wanachama wa Chama cha mapinduzi CCM wakiwa makao Makuu Lumumba wakati John Pombe Magufuli alipofika kuchukua fomu 
 Lumumba

Monday, 3 August 2015

TIMU YA TAIFA YA NGUMI YAREJEA NA MEDALI TATU ZA DHAHABU NA FEDHA

Timu ya taifa ya ngumi iliyokuwa mombasa katika mashindano ya East Africa Cities Club Championship , imerejea Tanzania huku ikiwa imetwaa medali tatu moja ya fedha na mbili za dhahabu.

Wachezaji wanne walishiriki katika mashindano hayo makubwa yaliyoshirikisha nchi za Afrika mashariki, pamoja na na nchi mwalikwa za Nigeria na Botswana, ambapo mabondia hao wameweza kufanya vyema katika mashindano hayo licha ya changmoto iliyokuwa nayo kabla ya maandalizi pamoja na fedha za kusafiri..

Wakizungumzia mashindano hayo nahodha wa timu ya taifa Said Hoffu pamoja na kocha wao Said Omary wamesema kuwa Tanzania imepata sifa kubwa kutokana mabondia hao kuonyesha kiwango kikubwa jijini Mombasa.

Wamesema kuwa iwapo Serikali itakuwa karibu katika mchezo huo timu hiyo ya Taifa ambayo itashiriki mashindano makubwa ya Afrika (All Africa Games), inaweza kufika mbali na kupeperusha bendera ya Taifa.

Naye Katibu Mkuu wa shirikisho la ngumi za Ridhaa, Tanzania (BFT),Makore Mashaga amesema kuwa timu hiyo imefanya vizuri na sasa wataiandaa zaidi kwa ajili ya mashindano mengine ya kimataifa


TIMU YA TAIFA YA NGUMI YAREJEA NA MEDANI TATU ZA DHAHABU NA FEDHA MASHINDANO YA EAST AFRICA CITIES CLUB CHAMPIONSHIP.

 Katibu Mkuu wa BFT Makore Mashaga Makao Makuu ya Chama cha Ngumi,Uwanja wa Taifa
 wachezaji wa timu ya Taifa ya Ngumi kutoka kushoto Gelus Rogasian,Ismail Galiatano,Katibu Mkuu wa BFT Makore Mashaga,akifuatiwa na Kocha mkuu wa timu ya taifa Said Omary,pamoja na Nahodha wa timu hiyo Said Hoffu na wa mwisho ni Hamad Furahisha.
 Wachezaji wa Ngumi wakionyesha vyeti na Medali walizoshinda katika mashindano ya East Africa Cities Club Championship
 Mashujaa waliotwaa Medali ya fedha na Dhahabu.
 Katibu Mkuu wa BFT Makore Mashaga akifafanua jambo baada ya kuwapokea wachezaji wa timu ya taifa ya Ngumi
 Nahodha wa timu ya taifa ya Ngumi Said Hoffu akizungumza juu ya mashindano hayo
 Said Hoffu na kombe la ubingwa wao

Sunday, 2 August 2015

MAJIMBO 28 JINSI YALIVYO GOMBANIWA KUGOMBEA UBUNGE KUPITIA CCM

KATIKA MAJIMBO 28 HAWA NDIO WALIOPITISHWA KUGOMBEA UBUNGE KUPITIA CCM



KURA ZA MAONI CCM 
1. Mwigulu - Iramba
2. Nape - Mtama
3. Mwakasaka - Tabora Mjini
4. Mama Sitta - Urambo
5. Kadutu - Ulyankulu
6. Bashe - Nzega
7. Ngeleja - Sengerema
8. Seif - Igunga ktk jimbo jipya.
9. Masaburi - Ubungo
10. Patel - Ukonga
11. Prof Kamala - Nkenge, Misenyi
12. Kagasheki - 
13. Lukuvi - Isimani
14. January - Bumbuli
15. Muhongo - Musoma vijijini
16. Ndugai - Kongwa
17. Chumi - Mafinga
18. Kigola - Mufindi kusini
19. Mgimwa - Mufindi kaskazini
20. Filikunjombe - Ludewa
21. Mgimwa - Kalenga...
22. Lusinde - Mtera
23. Imani Moshi - Kaliua
24.Mwakasaka -Tabora mjini
25.Fenala Mkangara -Kibamba
26.Mapunda-Mbinga mjini
27.Masele -Kahama
28.Antony Mavunde-Dodoma hizi ndio data nilizopata

FREDRICK MWAKALEBELA ASHINDA KURA ZA MAONI IRINGA MJINI

Mgombea Ubunge jimbo la Iringa mjini Fredrick  Mwakalebela akiwasalimia wananchi, Mwakalebela alikuwa akichuana vikali na Jessica Msavatavangu. 

Saturday, 1 August 2015

KUELEKEA TAMASHA LA UZINDUZI WA ALBAM YA MWIMBAJI WA NYIMBO ZA INJIL BONIFACE MWAITEGE KESHO DIOMOND JUBLEE WASANII WENGINE WADHIBITISHA KUSHIRIKI

Alex Msama ambaye ni mratibu wa tamasha hilo.

Alex Msama mratibu wa uzinduzi wa albam ya Mwaitege
Ale

Boniface Mwaitege akiimba
Mwimbaji Munishi akiimba


 
Copyright © 2016 Shamakala
Designed by Switch International | SHAMAKALA 360
    Twitter Facebook Google Plus Vimeo Videosmall Flickr YouTube