BREAKING
ROSE MHANDO :MSAMA NI BABA KWANGU ACHENI KUNIGOMBISHA NAYE.   UPANDIKIZAJI WA MENO BANDIA KWA NJIA YA KISASA MUHIMBILI MLOGANZILA 45 KUNUFAIKA NA HUDUMA    UTEKAJI WA WATOTO MKUU WA MKOA WA MBEYA JUMA HOMERA AWATAKA WANAFUNZI WA HOLY LAND PRE- & PRIMARY SCHOOL KUKATAA LIFTI   MSAMA ANG'AKA WAIMBAJI WA IN JILI KUPOTOKA MAADILI   DCEA YAFANIKIWA OPERESHENI DAWA ZA KULEVYA YAKAMATA JAHAZI DAWA ZA KULEVYA   NAIBU WAZIRI MKUU AKARIPIA UZEMBE TANESCO   MHE. RAIS DKT.SAMIA SULUHU HASSAN AFANYA MAZUNGUMZA NA RAIS WA CHINA MHE. XI JINPING    MHE. RAIS DKT. SAMIA SULUHU HASSAN AKUTANA NA WATANZANIA WANAOISHI CHINA..   RAIS SAMIA NCHINI KENYA-ASHIRIKI MKUTANO WA WAKUU WA NCHI   RAIS SAMIA ASHIRIKI MKUTANO WA WAKUU WA NCHI ZA AFRIKA-KENYA    Blogger Tips and Tricks & Blogger Templates

Wednesday, April 09, 2025

Thursday, 1 February 2024

DSTV 'HAWAPOI HAWABOI' WAZINDUA KAMPENI YA PANDA TUKUPANDISHE






Hilda Nakajumo Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Multichoice Tanzania,akizungumza wakati wa uzinduzi wa Kampeni ya Pandatukupandishe...

Ronald Selukindo ni Mkuu wa Kitengo cha Masoko multchoice Tanzania ,akizungumza wakati wa uzinduzi wa Kampeni ya Pandatukupandishe...

Kampuni ya Multchoice Tanzania DSTV imezinduzia kampeni yake mpya ya  #PandaTukupandishe, ambapo wameeleza hiyo yote ni kuwapa burudani wateja wao katika nyanja mbalimbali kama Soka, Tamthiliya, Filam na Michezo ya watoto.

Ronald Selukindo ni Mkuu wa Kitengo cha Masoko multchoice Tanzania anasema kwamba kama ilivyo kawaida ya DStv inaendelea kuwapa furaha mashabiki wake kupitia ving'amuzi vyao na kuongeza channel zenye burudani..

Amesema wakati Michuano ya Mataifa ya Afrika AFCON ikiendelea nchini Ivory Coast wameendelea kuwapa burudani nyingine watanzania kwa kuhakikisha wasanii mbalimbali nao wanapata furusa ya kuwapa burudani watanzania, ikiwa ni njia mojawapo ya kumuunga mkono Mhe Rais Dkt Samia Suluhu Hassan katika kukuza tasnia ya michezo.

Katika uzinduzi huo Shelukindo amesema DSTV inawaletea burudani nyingine kama  Show ya Kijanja Wana wa Town pamoja Tamthilia ya Nuru zitakazoanza mwezi huu wa Februari ulifanyika.


No comments:

Post a Comment

 
Copyright © 2016 Shamakala
Designed by Switch International | SHAMAKALA 360
    Twitter Facebook Google Plus Vimeo Videosmall Flickr YouTube