skip to main |
skip to sidebar
MHE.RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA SAMIA SULUHU HASSAN APOKEA UGENI MAALUM KUTOKA JAMHURI YA KIDEMOKRASI DRC
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa katika picha ya pamoja na Mjumbe Maalum Prof. Serge Tshabangu aliyewasilisha Ujumbe Maalum kutoka kwa Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) Mhe. Felix Antonio Tshisekedi Ikulu Chamwino Jijini Dodoma tarehe 19 Julai 2022. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akipokea Ujumbe Maalum kutoka kwa Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo Mhe. Felix Antonio Tshisekedi uliowasilishwa na Mjumbe Maalum Prof. Serge Tshabangu Ikulu Chamwino Jijini Dodoma tarehe 19 Julai 2022.
No comments:
Post a Comment