skip to main |
skip to sidebar
KOCHA MPYA WA SIMBA JOSEPH OMOG ATAMBULISHWA RASMI KUINOA SIMBA
Kocha Mkuu mpya wa Simba raia wa Cameroon Joseph Omog ametambulishwa
rasmi na Uongozi wa timu hiyo jijini Dar es salaam leo katika hoteli ya
Regency park iliopo Mikocheni.
Kocha Omog amesaini kandarasi ya Miaka miwili kuifundisha Simba sports club
No comments:
Post a Comment