Wakala wakuu wa uuzaji na usambazaji wa mbegu za Kilimo sambamba na Viuwatilifu kampuni ya Mputa Agrovet wameendelea kuwakaribisha wateja wake katika Soko Kuu la Kibiashara la KISUTU Jijini Dar es Salaam.
Duka la Uuzaji Mbegu na madawa mbalimbali ya kilimo linapatikana katika Gorofa ya tatu ambapo pamoja na uuzaji wa dawa na mbegu za kilimo pia ni watoaji wa elimu bora ya kilimo na utumiaji wa dawa kwa matumizi yake....