Tayari Serikali ya Qatar imepiga hatua kubwa katika ujenzi wa viwanja na miundombinu kadhaa ikiwemo ya usafiri kama treni.
Michuano hiyo ikiwa imebadilishwa katakana na joto, itaanza November 21, 2022 hadi Desemba 18 ikiwa ni jumla ya siku 28.
Viwanja vinane vya michuano hiyo vino ndani ya mail 21 za jiji kubwa la Doha na hii itawawezesha baadhi ya mashabiki kutazama mechi mbili kwa siku katika viwanja tofauti.
No comments:
Post a Comment