Wizara ya Nishati imetenga Sh bilioni tano katika bajeti ya mwaka huu kwa ajili ya kuchangia utoaji elimu ya kutunza mazingira ili kulinda mabwawa yanayozalisha umeme nchini.
Waziri wa Nishati January Makamba amesema hayo katika ziara ya viongozi wa dini kutoka baraza Kuu la waislam Tanzania lililofanya ziara katika mradi ya kufua Umeme,wa Julius Nyerere .
Waziri wa Nishati January Makamba
No comments:
Post a Comment