Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akitunuku Nishani ya miaka 60 ya Uhuru kwa Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini Inspekta Jenerali Simon Nyakoro Sirro kati ya watunukiwa 893 ikiwa ni sehemu ya Sherehe ya Maadhimisho ya kutimiza miaka 60 ya Uhuru wa Tanzania Bara, hafla ya utoaji wa Nishani hizo imefanyika leo tarehe 09 Desemba 2021, Ikulu Jijini Da es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akitunuku Nishani ya miaka 60 ya Uhuru kwa Mkuu wa Jeshi la Magereza nchini Meja Jenerali Suleiman Mungiya Mzee kati ya watunukiwa 893 ikiwa ni sehemu ya Sherehe ya Maadhimisho ya kutimiza miaka 60 ya Uhuru wa Tanzania Bara, hafla ya utoaji wa Nishani hizo imefanyika leo tarehe 09 Desemba 2021, Ikulu Jijini Dar es Salaam.
No comments:
Post a Comment